Kundi ya afya ya akili Kwa wakimbizi:
Je, unataka mtu wa kuzungumza naye? Je, una mengi ya kufikiria, je, umechoka, una msongo wa mawazo au unalala vibaya?
Hapa Kwetu katika timu ya Afya ya Akili kwa wakimbizi, unaweza kuzungumza na mwanasaikolojia au mshauri wa afya ya akili.
Tuna sheria ya kazi ya kutokusema inje mambo tulio zungumzuma na watu, ofa ya kazi hii ni bure, na tunaweza kutumia mtafusili
Piga simu au tuma ujumbe kwa:
- 40 40 59 04
- 97 09 39 71
- 47 78 35 29
Unaweza kutupata katika jumba la shughuli la Bjørnegård huko Slependveien 1. Tunaweza pia kukutana katika bustani ya komine pale Sandvika.